MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 28 November 2014

BREAKING NEWS BUNGE LAVUNJIKA WAPINZANI WAPINGA KUTONG'OKA KWA WATUHUMIWA

spika Makinda amelazimika kuahirisha bunge hilo ikiwa ni saa tano kasoro dk 20 baada ya kambi ya upinzani kuonesha wasiwasi katika maazimio yanayopitishwa baada ya baadhi ya wabunge kumtetea waziri wa nishati huku mwanasheria mkuu akikiri kuwa alikosea hivyo ashughulikiwe yeye badala ya katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini.

Bi Makinda ametoa muda usiojulikana kutejea kwa bunge kuendelea na mandala wa maazimio.
Na Mwanaharakati.

No comments: