MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 5 December 2014

AJALI MBAYA YA BASI KUGONGANA NA LORI MLIMA NYOKA HII LEO

Bado tunafuatilia kujua majeruhi na kama kuna waliopoteza maisha.
Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali ambayo ilisababishwa na Dereva wa Basi hilo,
Lori la Mafuta lenye namba za Usajiri T332 AGA ambalo Dereva wake Godfrey Lyimo (33) alikuwa amejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi, Hapa Lori hilo la mafuta liliwa Limepinduka.
Baadhi ya Abiria , Washuhudiaji pamoja na Askari wakiwa eneo la Mlima Nyoka ambapo ajali ilipo tokea
Hapa vijana wakiwa wamechukua magazeti wakificha jina la Basi hilo lisitambulike kwa wale wanaokuja kushuhudia ajali hiyo, Nia na lengo la kufanya hivyo haijafahamika mpaka sasa.
Na Mwanaharakati.

No comments: