MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 3 December 2014

BALOZI KAMALA ATEMBELEA OFISI ZA WANAHABARI KAGERA, KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

 Ni balozi wa Tanzania nchini Ubelgij akisaini kitabu cha waandishi wa habaribaada ya kufika ofisi kwao asubuhi ya leo, ambapo amesema kufanya nao mazungumzo leo jioni, kutokana na masuala kadhaa wanayotaka kujua kutoka kwake.
Na Mwanaharakati.

No comments: