Mafunzo hayo yanaendelea manispaa ya Bukoba, yanaendeshwa na mamlaka ya usimamizi wa bima TIRA ofi ya kanda ya Mwanza huku yakiudhuliwa na wadau wamiliki wa pikipiki pamoja na watoa huduma za BIMA mkoani Kagera.
 |
Mkuu wa Kanda ya ziwa mamlaka ya Bima Tanzania bwana ELIA KAJIBA |
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment