MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 22 December 2014

JK ABAINI MAMBO MANNE KATIKA MGOGORO WA ESCROW

Maswala kuhusu akaunti,- 1 Mmiliki wa PAP kwenye IPTL,
                                        2 Kodi za serikali na
                                        3 Mikataba ya kununua umeme IPP, ambao ni mkataba wa tozo ya umeme, lakini kuna makubaliano ya jinsi ya kushughulikia kinachoweza kujitokeza ikiwa ni mazungumzo, na kutafuta mashaurina hayoyakishindikana wanapelekana kwenye kituo cha kimataifa cha usuluhishi migogoro ya uwekezaji CENTER, na kinafanya kazi kama mahakama.

IPTL na TANESCO tayari walikwishapelekana huko, na gharama zikapunguzwa kwa kupata punguzo la dola milioni moja.
Na Mwanaharakati.

No comments: