MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 22 December 2014

RAIS ASEMA WALIOWEKEWA FEDHA ZA ESCROW KWENYE AKAUNTI ZAO WANAENDELEA KUCHUNGUZWA

Asema kuwa kulitokea madai kwamba kumechotwa fedha za PAP kinyume na taratibu, na mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali, TAKUKURU wachukue hatua ya kuchunguza na wachukue hatua, na hayo yalifanyika na taarifa kufanyika Bungeni huku akiagiza taarifa hiyo itangazwe kwenye magazeti ili wananchi waione.

Vielelezo vya TAKUKURU ni kuona wahusika wako mahakamani baada ya kuona vitu ambavyo vimetokana na fedha hiyo.

Amesema akaungti ya ESCROW ni maalimu, kwa wakati maalumu, kwa shughuli maalumu na ikimaliza kazi yake ufungwa.
Na Mwanaharakati.

No comments: