Meneja
Biashara, ukuzaji na Masoko wa kampuni ya Selcom Wireless, Juma Mgori
(Katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na udhamini wa Tuzo za
wanamichezo bora za Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa).
Mwenyeliti
wa Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa) Juma Pinto (Wa
kwanza kulia) akitoa neno la shukrani kwa kampuni ya Selom Wireless, baada ya
kutangaza udhamini wa Sh Milioni 30 kwa ajili ya udhamini wa Tuzo za
wanamichezo bora wa 2013/14. Wengine katika picha ni Gallus Runyeta ambaye ni
Meneja Miradi.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment