Pichani niNyalaka zinazodaiwa kudondoshwa na mh.huyo.
Vijana walikuwa wakifuatilia nyendo
zake pasipo yeye kujua na ndipo alipoanza kugawa fedha ghafla vijana
wakamkamata, aliapoanza kupewa kichapo polisi walimuokoa kwa kupiga risasi za moto na
mabomu ya machozi.
Taarifa za uhakika zinaeleza alidondosha nyaraka mbali mbali ktk eneo la tukio, baada ya polisi kumweka kwenye DEFENDER.
Taarifa za uhakika zinaeleza alidondosha nyaraka mbali mbali ktk eneo la tukio, baada ya polisi kumweka kwenye DEFENDER.
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment