Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akifanya mazoezi katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari
waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku, ili kuendelea kuimarisha afya yake
baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins
nchini Marekani.
|
No comments:
Post a Comment