![]() |
Askari wakichukua maelezo na kuchunguza taarifa za awali za marehemu ambaye jina lake halijafahamika. |
Mwili wa marehemu umechukuliwa na polisi Bukoba kwa ajili ya uchunguzi zaidi huku wananchi wakibaki wanashangaa, mwendelezo wa mauaji ambayo yalikuwa yametulia katika manispaa.
Mwezi wa 11 na 12 mwaka jana watu 8 waliuawa kwa aina inayofanana ya kuchinjwa na kuchomwa na vitu vyenye ncha kali.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment