MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 26 January 2015

NEWS ALERT!!! MAOFISA WAKUU WAANDAMIZI WA POLISI WAKUTANA MKOANI DODOMA KWA DHARURA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa jana wakati wa hafla ya

ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi

unaoendelea Mkoani Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mathias Chikawe (katikati)

wakiongozana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu

pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa kuingia

ukumbini kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu

waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma.

Baadhi ya maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiimba

wimbo wa maadili ya ofisa wa polisi jana kwenye ufunguzi wa

mkutano wa wakuu hao unaoendelea Mkoani Dodoma.(Picha na Hassan

Mndeme-Jeshi la Polisi)

Na Mwanaharakati.

No comments: