Ni baada ya wanaosadikiwa kuwa majambazi kuvamia duka moja Kariakoo jijini Dar es salaam, ambapo polisi wamekamata pikipiki na vifaa vingine walivyokuwa navyo watu hao.
Polisi imeondoka na miili ya waliouwawa baada ya mapambano ya risasi baada ya
kutaka kupora pesa katika duka la Mpesa/Tigo Pesa/Airtel Money mtaa wa Mkunguni
jijini Dar es salaam usiku huu.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment