Watu wawili wamefariki Dunia na wawili
kujeruhiwa katika matukio mawili tofauti ambapo katika tukio la kwanza Maria
Haule mkazi wa kijiji cha Muhukuru Songea vijijini mkoani Ruvuma ameuawa kwa
kukatwa na shoka kichwani na mume wake Salvatory Ndimbo na mwili wake kuutupa
mto Mkurumo .
Katika tukio jingine kamanda Mihayo
amesema kuwa mwendesha bodaboda aliyetambulika kama Haridi Alifa amefariki
dunia na watu wawili kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari lenye namba
T934BTE,Toyota.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment