MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 3 January 2015

HII NDO AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA ABOOD KUTOKA DAR KWENDA MOROGORO





Taarifa inasema Basi hilo la Abood limepata ajali jana mbele ya mji wa Kibaha, na haikujulikana mara moja kama kuna vifo au majeruhi, tunaendelea kufuatilia.
 


Na Mwanaharakati.

No comments: