MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 16 January 2015

MLIPUKO MKUBWA UMETOKEA MGOLOLO MKOANI IRINGA.






Ni baafa ya Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa. 

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.
 
Mashuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu. 

Na Mwanaharakati.

No comments: