Ni baada ya dhoruba iliyowakumba jana na kusababisha kifo
cha mtu mmoja huku wengine zaidi ya 30 wakifikishwa usiku katika hospitali ya
mkoa kwa matibabu baada ya kujeruhiwa na mabati ya nyumba zilizoezuka.
Taarifa ya mtendaji wa kata Goziba Bw Nason Bahemuka,
inasema kuwa mtumbwi uliosadikiwa kuzama haukuzama japo ulipoteza mawasiliano
baada ya kupotea njia na wataitolea taarifa baadaye.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Bw John Mongera, anataraji kufika
kisiwani humo wakati wowote kutoka sasa, kutokana na umbali uliopo kuwa usafiri
wa fiber boat spa 40 unatumika muda wa saa6 kutokea Muleba mjini Muleba kufika
Goziba kisiwani.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment