MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 5 January 2015

NGWASUMA WAHITIMISHA BURDANI MKOANI KAGERA CHINI SHEMEJI INVESTMENT



Ni baada ya kuingia mkoani humo wakitokea mkoa wa Geita, kwa kuburudisha katika kiwanja cha LINAS, na baada ya hapo usiku wa jana wameangusha masebene katika moja ya kumbi za kisasa wilayani Muleba.
Na Mwanaharakati.

No comments: