![]() |
| Wasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo |
![]() |
| Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la Meridian |
Ajali hii imehusisha basi la abiria
la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika
kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
Ajali hii imetokea maeneo ya
Mkata barabara ya kwenda mikoa ya Kaskazini.
Na Mwanaharakati.




No comments:
Post a Comment