 |
| Makamu mwenyekiti wa wachinjaji manispaa Primusi Kalokora |
Wafanyabiashara
hao 13 wa manispaa ya Bukoba, walipeleka ombi la kufungua kesi hiyo
juzi,katikamahakama ya mkoa wakitaka kuruhusiwa kuuza nyama kwa shilingi elfu
tano kwa kilo, na uongozi wa manispaa kupeleka pingamizi la ombi hilo, ambalo
limepanguliwa mpaka tarehe 10 Feb2015.
Awali
mkurugenzi manispaa ya Bukoba,iliwaandikia barua wafanyabiashara hao, kuwataka
washushe bei nyama waliopandisha kwa kisingizo cha ghara ya ununuzi wa Ng’ombe
kupanda.
 |
| Barua ya mkurugenzi manispaa kuwataka washushe bei. |
 |
| Baadhi ya wafanyabiashara ya nyama manispaa ya Bukoba wakiwa kwenye mgomo |
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment