MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 26 January 2015

TAZAMA KILICHOJIRI HIJA KISHOMBERWA MINZIRO ASKOFU RWOMA ATOA SIRI YA MTAKATIFU

 Askofu wa jimbo Katoliki la Bukoba Desiderius Rwoma amewaongoza waumini katika ibaada takatifu ya Hija hiyo.

Katibu wa Parokia Bukoba bwana Miwaniakisoma neno


Ujumbe mkuu wa siku hiyo jana ni tuombe Amani kwa ajili ya Taifa letu. Hatahivyo Askofu Rwoma aliwakumbusha waamini kuwa  Yohana Maria Muzeeyi, Shahidi ndiye Mtakatifu Mtanzania wa kwanza kutangazwa rasmi mjini Roma Italy na Baba mtakatifu Paulo VI tarehe 18th October 1964 kati ya mashahidi 21 waliotangazwa wakati huo.
 PICHA KWA HISANI YA WILLIAM RUTTA-BUKOBATOURS 

Na Mwanaharakati.

No comments: