Mbunge
wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi akifanya mawasiliano kwa
ndugu na jamaa mara baada ya kupata ajali mbaya na kunusurika kifo,ajali
hiyo imetokea eneo la Mlima Kitonga Mkoani Iringa .
Kwa
mujibu wa chanzo Mh. Mbilinyi alikuwa
safarini akitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar akiwa na jamaa zake
Wanne katika gari hilo lenye namba za usajili T 148 BQE. katika ajali
hiyo hakuna aliyepoteza maisha.
Na Mwanaharakati.


No comments:
Post a Comment