MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 16 January 2015

VURUGU ZA KUFUKUZWA WANAFUNZI DODOMA, TAZAMA HALI YA ALIYEVUNJIKA MGUU KWENYE VURUGU, HUKU CHADEMA IKILAANI KITENDO HICHO

Kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata masaibu baada ya kuvunjika mguu katika vurugu za mgomo uliyofanywa na wanafunzi wa Udom wa college ya social science
Mr Dannis akiwa na Msouth kato baada ya kumtembelea kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom aliyepata majanga ya kuvunjika mguu baada ya kuruka kwenye gari na kutaka kuwakwepa Polisi waliokuwa wanahakikisha usalama unapatikana katika chuo hicho cha Udom kutokana na baadhi ya wanafunzi kuwashawishi wanzao kufanya maandamano yasiyokuwa ya Maani kutokana na kile kinachodaiwa kutopata Mkopo kwa muda unaostahili.
Na Mwanaharakati.

No comments: