MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 2 February 2015

AJALI YAUA WAWILI NGARA MKOANI KAGERA, PICHA HIZI HAPA

Pichani ni miili ya watu wawili waliofariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na gari dogo aina ya Saloon ,majina hayakupatikana mara moja na kwa mujibu wa mashuhuda wamesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
Pichani ni gari hilo dogo aina ya Saloon likiwa limeharibika vibaya baada ya kugonga watu wawili na kufa papo hapo eneo la Lemela mjini Ngara.
Baiskeli aliyokuwa ikitumiwa na Marehemu hao ikiwa imeharibika vibaya


Watu wawili wamekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari dogo lenye namba za usajili T 346 DAA katika eneo la Lemela ,katika barabara ya Kabanga-Ngara wilayani Ngara mkoani Kagera.
 

Na Mwanaharakati.

No comments: