Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amethibitisha kutokea
kwa kifo hicho, hata hivyo hakuwa tayari kuelezea kwa undani kwa madai
kuwa taarifa hizo zimemfikia sasa hivi.
Mmoja wa watoto wa Komba ambaye alijitambulisha kwa jina la Herman
amethibitisha kutokea kwa msiba huo na akasema, msiba wa
baba yake upo nyumbani kwake Mbezi Tangi Bovu, Dar.
Habari zinasema asubuhi ya leo Komba alikwenda kwenye shughuli zake
za kikazi kama kawaida lakini
Taarifa zaidi tutakuletea kuhusu kifo hicho cha mbunge wa Mbinga ambacho kimestua watanzania wengi.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment