Ni siku chache ameuawa watu sita kwa wakati mmoja katika mtaa wa KIPUNGUNI, jengo moja la Ghorofa katika nyumba za NHC na sasa yameendelea kushika kasi jijini Dar
es salaam ambapo jana majira ya saa mbili usiku kiwanda kinachochapisha
magazeti cha JAMANA PRINTERS GROUP kilichopo Barabara ya Pugu kimeunga
moto na kuteketeza nusu ya bidhaa za kiwanda hicho baada ya kikosi cha
zima moto kufanikiwa kufika kwa wakati eneo la tukio na kuudhibiti moto
huo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment