Nape asema serikali ya mkoa ikae tayari kumpokea Kinana akimaanisha kuwa wameshamaliza matatizo ya wananchi la sivyo CCM haitakubali.Naibu katibu mkuu baraza la vijana CHADEMA taifa Getrude Ndibalema amesema ni wakati wa vijana kufanya mabadiliko.
Na Mwanaharakati.











No comments:
Post a Comment