Askari wa JWT aliyepigwa risasi ya tumbo Sergent Kajembe amefariki dunia, huku PC wa FFU mmoja, Sergeant aliyejeruhiwa sikio
na Corporal aliyejeruhiwa mguu, bado wamelazwa hospitalini mkoani humo.
Pikipiki, baiskeli, vyakula na nguo ndiyovitu vilivyokutwa
kwenye pango huku hakuna jambazi aliyekamatwa.
Na Mwanaharakati.


No comments:
Post a Comment