Nape Nnauye amesema kuwa sasa wakati umefika wa kumaliza matatizo ya watuwaBukoba baada ya kuonekana hayashughulikiwi huku baadhiya watu wakitumia nafasi zaovibaya katikakutekeleza miradiya viwanja, ujenziwa soko nk.
HatahivyoNnauye amemsimika Dioniz Malinzi kuwa kamanda wa vijana wa CCM mkoani Kagera
No comments:
Post a Comment