Hatimaye kesi ya mwanamuziki
wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah Makwaro
Maarufu kama (Chid Benzi) imehukumiwa leo na kumfunga kifungo cha miaka miwli jela au
kulipa faini ya shingili laki tisa bada ya kupatikana na hatia ya makosa
matatu ikiwemo kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin yenye thamani
ya sh. 38,638, bangi ya sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko
na kigae..........
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment