MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 14 February 2015

NI KWELI STARA THOMAS YAMEMTOKEA HAYA?

Stara akiwa na mumewe Raumu Ally


Inasemekana amefumaniwa na mumewake wa ndoa na baada ya kuulizwa kama kweli fumanizi lilikuwepo, mume wa Stara alieleza kuwa:- “Ni kweli ilitokea. Siku ya fumanizi nilikuwa nimesafiri, lakini nikarudi ghafla bila kumpa taarifa mke wangu.

NDANI YA GARI KWA NUSU SAA,“Lile gari lilisimama zaidi ya nusu nje bila kushuka mtu ndipo nikaamua kulifuata. Stara aliponiona akamwambia dereva ambaye najua ni jamaa yake, aondoe gari kwani mimi ni mume wake nitampiga.



















Anasema kuwa baada ya huyo dereva kuondoa gari, alijitaidikuzuia lisiondoke lakini aliparuzwa kidogo akadondoka na kuokota jiwe ndipo aliporusha na kuvunja kioo cha gari hilo, na kuwafanya Stara na huyo wakafungua kesi katika kituo cha polisi Tabata.


Mume wake huto ambaye ni Dereva wa Lori anasema kwakuwa alikuwa na safari nje ya nchi na alitaka yaishe haraka, alilipa shilingi laki saba na kuendelea na safari yake.




Na Mwanaharakati.

No comments: