MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 14 February 2015

TAARIFA ZA MAPAMBANO YA POLISI NA KUNDI LENYE SILAHA AMBONI TANGA

Taarifa zilizotufikia kutoka kwa waandishi walioko huko tanga, ambazo hatahivyo hazijathibitishwa,zinasemakuwa polisi mkoani Tanga, wamepambana na watu waliokuwa na mabomu na slaha mbalimbali karibu na eneo la machimbo ya Amboni.

Inasemekana kuwa jana kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 11 jioni wananchi walitakiwa kutotoka nje huku mapambano yakiendelea hiyo jana,japo taarifa za sasa zinasema kuwa milioiliyokuwa ikisikika imekwisha na watu wanaendelea na shughulikawaida huku kukiwa na taarifa kuwa polisi wawili walijeruhiwa na JW kuingilia kati.

Tutakuletea undani. 
Na Mwanaharakati.

No comments: