MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 24 February 2015

PICHA ZA LORI ILIYOTEMBEA BILA DEREVA MOSHI NA KUSABABISHA TAHARUKI NA MADAHARA HIZI HAPA

Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa lori hilo na baadaye kukata kona ya ghafla ambayo ilisaidia kupunguza madhara zaidi yasitokee baada ya tanki kukata na kurudi upande wa barabarani na kisha kusimama, ambapo liliondolewa na dereva ambaye jina lake halikufahamika mara moja.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiashangaa lori la mafuta lilotembea bila ya kuwa na dereva likitoka kituo cha mafuta cha Puma lilipokuwa limepaki kwa ajili ya kushusha mafuta.tukio hilo limetokea mchana wa jana mjini Moshi jirani na ofisi za TTCL.
Tukio hilo ambalo limewaduwaza watu wengi limesababisha uharibifu mdogo katika gari ndogo inayoonekana pichani.
Na Mwanaharakati.

No comments: