Kamanda wa polisimkoani Kagera Henry Mwaibambe, amesema kuwa mwanamke Bi Ameli Richard mwenye miaka 50, alimumwagia mafuta ya taa yaliyokuwa kwenye kibatari, mwanamke mwingine Bi Peragia Martine miaka 46 wote wa kijiji cha Ibosa, Kata ya Nyakato tarafa Bugabo, baada ya kumkuta nyumbani kwake na mume wake ikiwa ni tarehe 15/02, ambapo marehemu .....
aliungua mwili na kumchelewesha kutoa taarifa polisi na ilipofika kesho yake tarehe 16/02/2015 wakaomba msaada wa polisi baada ya kuona siri imeshindikana,ndipo aliaga dunia muda mfupi baada ya kufikishwa hospitali ya mkoa.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment