Taarifa inasema kuwa mtoto YOHANA BAHATI aliyetekwa
akiwa na umri wa Mwaka mmoja huko Chato mkoani Geita, amekutwa amekatwa mikono
na miguu katika kijiji cha Mganza.
Hatahivyo mama wa mtoto huyo inasemekana ameingizwa chumba cha upasuaji leo
asubuhi ya saa 5.
Awali kumeripotiwa kuwa mwili wa Marehemu YOHANA
BAHATI umekutwa kwenye hifadhi ya Biharamulo lakini kamanda wa polisi mkoani
Kagera, amesema kuwa taarifa za awali alizopata zinasema kuwa amekutwa kwenye
kijiji cha Mganza wilayani Chato mkoani Geita.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment