Magugu maji ni tatizo katika ziwa Victoria, ambapo hivi karibuni
ongezeko lake linatajwa kuwa ni kutokana na uchafuzi wa mazingira katika
mito inayoingiza maji yake ziwani Victoria.
![]() |
| Ferdinand Mshamo ni Kaimu Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA mkoa wa Mwanza |
Na Mwanaharakati.
Zaidi ya magari 200 ya mizigo yamekuwa katika eneo la Kigongo na Busisi
na kuleta athari kubwa kwa wananchi, wafanyabiashara na wasaka huduma.
Wananchi pamoja na madereva nilio kutana nao eneo la Kigongo Ferry
wanazungumzia changamoto walizokutana nazo mara baada ya kadhia hiyo
kujitokeza.....png)
.png)
.png)
No comments:
Post a Comment