Naibu waziri wa chakula na ushirika Godfrey Zambi, amesema hayo mjini Bukoba, katikamkutano mkuu wa chama cha ushirika KCU 1990 LTD, kuwa serikali ya mkoa ishirikiane na bodi ya kahawa kuzuia jambo hilo,huku akiwaeleza ..........
wananchi kuwa wakifanya hivyo wanaibiwa.
Ameyataka makampuni kununua Kahawa kwenye vituo rasmi vilivyotangazwa na serikali lakini siyo kwa mkulima mmoja mmoja.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment