MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 20 February 2015

KIFO CHA MSANII WA BONGO FLAVA MEZ B


Taarifa zinasema kuwa msanii huyowa muziki wa kizazi kipya nchini amefariki leo saa nne asubuhi katika hospitali ya Mwananchi mkoani Dodoma, alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Msanii huyo Mozes  Bushagama, amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Pneumonia ambapo siku za hivi karibuni aliongea na waandishi habari kuwa anasumbuliwa na kichwa na shingo tangu mwezi wa kumi na mbili alifika huko Dodoma, huku akisema kuwa anaendelea vizuri na angeruhusiwa wakati wowote.



Na Mwanaharakati.

No comments: