MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 16 February 2015

TASWIRA MSIBA WA MZEE SYKES BABA WA MSANII BONGO FLAVA DULLY SYKES.

Mzee Sykes alifariki jana katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam, baada ya kuugua ugonjwa wa vidonda miguuni na kusambaza sumu mwilini ambayo imekuwa ngumu kutibika kwasababu pia alikuwa anasumbuliwa na moshi wa sigara. 
Mazishi ya mzee Ebby Sykes aliyefariki jana  jijini Dar es salaam, yamefanyika katikamakaburi ya Kisutujijini humo, ambapo amefariki akiwa na umriwa miaka 62 baada ya kuzaliwa Feb 24 1952.
Na Mwanaharakati.

No comments: