MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 19 February 2015

YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA MKOANI IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma  ya kikundi cha Mangala  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kupokea taarifa ya mkoa wa Iringa kwenye ikulu ya Iringa Februari 18, 2015. Kushoto ni Mkuu wamkoa wa Iinga , Amina Masenza. Mheshimiwa Pinda yuko katika ziara ya kikazi mkoani Mbeya.
Badhi ya viongozi wa mkoani Iringa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakatia alipozungumza nao Februari 18, 2015 akiwa katika ziara mkoa wa Iringa Februari 18, 2015.
Na Mwanaharakati.

No comments: