Ofisi ya Bunge
imesema haijapata barua yoyote
kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa
Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema).

Kauli ya hiyo ya
Bunge imekuja siku moja baada
ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), kutangaza kumvua uanachama Zitto,
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

Akizungumza na
waandishi wa habari jana jijini
Dar es Salaam, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas
Kashililah,...............
alisema kutokana na hali hiyo, ZittoDar es Salaam, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas
Kashililah,...............
bado ni mbunge halali wa Kigoma Kaskazini na
kwamba anapaswa kuendelea na shughuli zake
kwa mujibu wa sheria.
Dk Thomas
Kashililah, amebainisha kuwa endapo
Bunge litapata taarifa rasmi ya Chadema kumvua
uanachama Zitto, lazima Bunge hilo lifanye
kwanza uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili
ndipo litoe uamuzi.

Pia amesema
sakata la mbunge wa Bunge hilo
kuvuliwa uanachama na chama chake si la
kwanza, kwani tayari kuna mbunge aliyevuliwa
uanachama na chama chake lakini Bunge hilo
halikumvua uanachama wake baada ya kumaliza
uchunguzi wake. Hata hivyo hakumtaja mbunge
huyo.

“Utaratibu
ulivyo, chama huliandikia Bunge
kuhusu kumvua uanachama mbunge na Bunge
kabla ya uamuzi wowote hufuatilia kwanza
sababu za kuvuliwa uanachama huo, ili
kujiridhisha kama zilikuwa halali au la,” alisema
Kashililah.

Alisema baada ya
hapo Bunge hilo huwasiliana
na Msajili wa Vyama vya Siasa ili ofisi hiyo ya
msajili iweze kupitia Katiba ya chama husika na
kupitia sababu za chama husika zinazoweza
kumvua uanachama mwanachama wake na kama
kweli zimekiukwa.

“Baada ya suala
hilo kupelekwa kwa msajili wa
vyama vya siasa, Spika wa Bunge, hutoa uamuzi
baada ya kuchunguza na uamuzi huo, hupelekwa
kwa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) kwa ajili
ya kufanyiwa kazi zaidi,”alisisitiza.

Aidha alisisitiza:
“Si lazima Spika akubaliane na
uamuzi wa kutengua ubunge wa mbunge husika
kwani kama haikuwa halali kwa mbunge huyo
kuvuliwa uanachama, Spika hubatilisha uamuzi
wake wa kumvua ubunge mhusika,” alisema.

Alisema Spika
Anne Makinda katika kipindi chake
alishawahi kutoa uamuzi wa kubatilisha mbunge
fulani kuvuliwa ubunge hata baada ya chama
chake kumvua uanachama.

Akizungumzia
suala hilo, Zitto, alisema kwa
upande wake bado ni mbunge na anaendelea na
kazi yake ya Uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Hesabu za Serikali (PAC) hadi pale
atakapopatiwa taarifa rasmi ya kuvuliwa
uanachama na ubunge wake.

“Naendelea na
kazi kama vile hakuna
kilichotokea, sina taarifa yoyote ya kuvuliwa
uanachama wangu wala ubunge, habari hizi
nimezisikia kwenye vyombo vya habari, sijaitwa
na Mahakama kuambiwa
kinachoendelea,”alisema Zitto.

Alisema kwa sasa
anaendelea kuongoza kamati
hiyo na jana alikutana na menejimenti ya Shirika
la Umeme Tanzania (Tanesco), leo kamati yake
inatarajia kukutana na Benki Kuu ya Tanzania
(BoT), pia watakutana na Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) na Mwanasheria Mkuu kuhusu
mapato ya akaunti za madini.

Aidha alisema
pamoja na kuendelea kama
kawaida na shughuli zake za kibunge bungeni,
pia anatarajia kesho kwenda Kigoma kwa ajili ya
shughuli za maendeleo jimboni kwake, kabla ya
kuhudhuria vikao vya Bunge vinavyotarajiwa
kuanza rasmi Machi 17, mwaka huu.

Alisema kwa
upande wake, anachukulia suala
hilo kama changamoto ambayo inazidi kumkuza
na kumkomaza katika medani za siasa nchini na
duniani kote.

Kwa upande wake,
Ofisa Habari wa Chadema,
Tumaini Makene alisema chama hicho kinajitahidi
kulifanyia kazi suala hilo kwa kuzingatia sheria na
taratibu zote, ikiwemo kuandaa na kuiwasilisha
wakati wowote barua inayomvua uanachama
Zitto, ili suala hilo lifanyiwe uamuzi mapema.

“Kwa sasa suala
hili la Zitto limewaingia
Watanzania wengi, sasa sisi tunataka tulifanyie
kazi mapema, ili uamuzi ufanywe mapema na
suala hili liishe. Kuna mambo mengi ya maana
yanahitaji kujadiliwa kitaifa kama vile masuala ya
uandikishaji katika Daftari la Wapiga kura kwa
mfumo wa BVR,” alisema.

Mwanasheria Mkuu
wa Chadema, Tundu Lissu
ambaye juzi alitangaza kuwa chama hicho
kimemvua uanachama mbunge huyo, jana
alimwambia mwandishi kuwa, jopo la wanasheria
wa chama hicho litaifikisha taarifa ya Zitto
kuvuliwa uanachama kwa Kamati Kuu ya chama
ifikapo Mei, mwaka huu.

Alisema,
"Kutokana na utaratibu uliopangwa wa
Kamati Kuu kukutana kila baada ya miezi mitatu,
suala la Zitto litasubiri kikao kingine cha kawaida
cha kamati hiyo kitakachokaa mwezi Mei. Kikao
kilichopita kilikaa Februari mwaka huu".

Kwa maelezo ya
Lissu, baada ya hapo ndipo
wataiandikia barua Tume ya Uchaguzi (NEC)
kuijulisha kuwa Zitto si mwanachama wa chama
hicho tena au la.

Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment