Taarifa zilizotolewa na mtandao wa burudani nchiniUganda "
New Vision Uganda" Jose Chameleone amesema kusikitishwa na kifo chamdogo wake Emmanuel Mayanja Hummertone aliyejulikana zaidi kama AK47, mwanamuziki na mwimbaji wa dancehall nchini Ugandan, kuwa amefariki akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Nsambya.
Kifo cha msanii huyo AK47,kimetokea usiku wa kuamkia leo nchini Uganda, baada ya kuanguka bafuni na taarifa za awali zinasema amefarikimuda mfupi kabla ya kufikishwa hospitali ya Nsambya, kutokana na damukuvujia ndani.
|
Emmanuel Mayanja |
Dr Jose amesema kuwa kimekuja wakati mgumu sana kwake huku akiongeza kuwa familia imepoteza msanii aliyekuwa anakuja juu sana katika muziki.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment