Mwanasheria mkuu wa chama cha demokrasia na
maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, ametangaza rasmi kuvuliwa uanachama kwa mbunge
wa Kigoma kaskazini Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar
es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe.
"Kwa mujibu wa katiba ya chama hicho cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika esi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo natangaza rasmi rasmi Zitto Kabwe sio mwanachama tena wa CHADEMA.

Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment