Taarifa iliyotufikia,inasema
kuwa chama cha demokrasia namaendeleo CHADEMA kimeshinda kesi dhidi ya
aliyekuwa mwanachama wake Zitto Zuberi Kabwe.
Pamoja na Mahakama kuamulu Zitto alipe gharama zote za kesi, pia imesema kuwa Chama kinaweza kuendelea na taratibu zake...............

Wanasheria
wa chama cha CHADEMA Peter Kibatala na John Mallya wataongea na Vyombo vya
Habari punde.
Mwaka jana Zitto Kabwe aliweka pingamizi mahakamni kuzuia kikao cha Kamati Kuu kumjadili.
Hoja yake ni kupinga kuitisha kamati kuu kabla shauri lake kusikilizwa na Baraza Kuu.
Alidai anataka mahakama iagize kamati kuu ya CHADEMA kutojadili suala lake mpaka baraza kuu likae kuamua rufaa yake.

Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment