Taarifa za awali zinasema kuwa mzee Ruangisa ameaga dunia huko nyumbani kwake New York Marekani, ambapo alikuwa chini ya uangalizi wa daktari nyumbani kwake, akisumbuliwa na maradhi.matibabu ya afya yake takribani miezi mitano sasa.
![]() |
| Kushoto ni Mzee Rwangisa, Murungi kichwabuta na Balozi Kagasheki, walipokuwa nyumbani kwa mzee Rwangisa New york Marekani, siku chache zilizopita. |
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment