Rais Kikwete amemteua Bw Antony Mavunde kuwa mkuu wa wilaya
ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuanzia leo jumatatu 25 may 2015, huku akifanya
uhamisho wa wakuu wa wilaya 10 kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa
wilaya mbalimbali nchini.
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkuu wa wilaya Karagwe
Darry Rwegasira, amepelekwa wilaya ya Biharamulo, huku Dc Misenyi Fadhil Nkulu, akipelekwa wilaya ya Mkalama.
Elias Choro John Tarimo, ametolewa Biharamulo kwenda Chunya
mkoani Mbeya, huku Deodartus Kinawiro kutoka Chunya kwenda Karagwe mkoani
Kagera.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment