. Watembelea
vituo na kutoa zawadi,
.
Washiriki kutafakari siku ya uhuru wa habari,
.
Mbunge Kagasheki awaomba kuelimisha juu ya kiongozi bora.
Waandishi
hao kutoka wilaya zote za mkoa wa Kagera, wameazimisha siku ya uhuru wa vyombo
vya habari duniani, ambayo ufanyika may 3 kila mwaka, kwakutembelea vituo vya
Uvyacho na Nusuru yatima, kwa kutoa zawadi zenye thamani y ash laki 6.
Katika
kukamilisha siku hiyo, mbunge wa jimbo la Bukoba mjini balozi Khamis Kagasheki,
ambaye amekuwa akishiriki nao kila mwaka, ameungana nao katika chakula cha
jioni, na kuwapongeza kwa hatua hiyo, huku akiwaomba kufikisha ujumbe kwa tume,
kuhusu kusuasua kwa uandikishaji kupitia BVR.
Awali
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani kagera John Rwekanika amewataka
vyombo vya habari na wanahabari kuwa na mshikamano hasa kipindi hiki ambapo
taifa lipo katika maandalizi ya uchaguzi mkuu.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment