Ni ajali inayotajwa kuhusisha basi la Another G lililogongana na Lori linasadikiwa kubeba copper wire, huku taarifa za awali zinasema waliopoteza maisha wanafikia watu 22 wanaume 15 na wanawake 7, huku majeruhi wakiwa 34.
Ajali hiyo imetokea eneo la K inyanambo njia panda ya Mdibila, na dereva anatajwa kuvunjika mkono anayeendesha basi la kampuni hiyo ya anothe G likitokea Iringa kwenda Njombe.
Picha za ajali hii zinafuata.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment