MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 16 June 2015

ZITTO ATOBOA SIRI YA VYAMA VYA SIASA BUKOBA

. Asema wanaosema kuleta mapinduzi waanze kubadilika wao,

. Wanasiasa wasizungumzie mtu wazungumzie nchi,

. Hakung'ang'ania CHADEMA kwasababu haipo kwaajili ya watanzania,

. Awataka wananchi kumuunga mkono kuiangusha CCM.


Ni katika mkutano wa hadhara katika manispaa ya Bukoba, ambapo ACT WAZALENDO, imejitambulisha rasmi na kuomba wana Bukoba kuiunga mkono katika kuijenga tanzania mpya, baada ya kuzinduliwa kwa azimio la Tabora, lenye malengo sawa na azimio la Arusha linalotajwa kuzikwa visiwani Zanzibar.

AMeendelea kusema kuwa viongozi kadhaa walishahama vyama vyao, huku akitolea mfano mbunge wa zamani wa CUF Wilfred Muganyizi Lwakatare aliyejiunga CHADEMA......................

Katika mkutano ambao chama hicho imeandikisha marafiki mbalimbali huku kikiuza kadi za uanacha,ma kwa sh 1500/=, zito ameeleza ni marufuku kutumia magari ya serikali kwenye shughuli za chama kama siyo tawala, lakini vyama vingine wamekuwa wakifanya hivyo kama anavyoeleza hapa chini.


Na Mwanaharakati.

No comments: