MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 22 June 2015

MSAKO WA POLISI KAGERA WABAINI UHALIFU WA KUTISHA, WASHUKIWA WA KIMATAIFA WAKAMATWA

. Kampuni imebainika kuwa silaha haramu,
. Polisi kuendeleza msako,
. Taarifas za watu kuuawa zaendelea.

Taarifa ya polisi Kagera iliyotolewa na kaimu kamanda wa polisi mkoani humo Gires Mroto, inasema kuwakumefanyika msako katika halmashauri zote za mkoa huo, na kubaini matukio kadhaa ya ualifu, ikiwamo kukamatwa wahamiaji wakiwa kwenye basi la Sumry, silaha mbili zilizokuwa zikitumiwa na kampuni ya ulinzi sambamba na wawindaji haramu na silaha zao Karagwe, kama anavyoeleza RCO.


Taarifa zilizoufikia mtandao huu na bado zinafanyiwa kazi, usiku wa kuamkia leo ameuawa mama mmoja katika kitongoji cha Buzi huko Bugabo Bukoba vijijini, ilhali uhalifu ukiendelea kuibuliwa na polisi ya mkoa wa Kagera, ingawaje taarifa zinaonesha kuwa bado unaendelea na taarifa za RCO zinaonesha kuwa wahalifu majini ambao wamekuwa wakisumbua wavuvi wamekamatwa katika wilaya ya Muleba.

Tarifa zaidi na picha endelea kufuatilia hapa.
Na Mwanaharakati.

No comments: