.
Ni katika tasni ya habari uchaguzi wa kisheria,
.
Vinaja watawala uongozini,
.
Tetesi za kuvuruga za sikika.
Akitangaza
matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo, katika Manispaa ya Bukoba, Msimamizi wa
Uchaguzi huo, Padre PROCESSUS MUTUNGI, amesema kuwa bwana MBEKI amepata kura
19, na kuwashinda JOHN RWEKANIKA na
PRUDENCE KIBUKA, ambao wamepata kura tano kila mmoja.
Katibu
Mtendaji ni PHINIAS BASHAYA, na katibu Msaidizi ni NICOLAS NGAIZA, ambao
hawakuwa na mpinzani.
Mweka
Hazini ni LILIAN LUGAKINGIRA, ambaye amepata kura 22 na kumshinda AYOUB
MPANJA, ambaye amepata kura saba
Wajumbe
wa Kamati Tendaji ni LIVINUS FERUZI,
MATHIAS BYABATO, RAMA MASELLE na JUHUDI FELIX.
Wakati
huo huo, Chama cha Waandishi wa Habari mkoani Kagera-KPC, kimemsimamisha Uanachama
kwa Muda, AUDAX MUTIGANZI, kwa kukiuka Maadili ya Uandishi wa Habari,
huku akitajwa na kuhusika isiyo stahiki ndani ya chama hicho, ambaye hatahivyo
alipopewa nafasi ya kujitete alisema yafuatayo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment